LATRA YATANGAZA NAULI ZA DALADALA MKOA WA DAR ES SALAAM.

Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri Ardhini LATRA imetangaza nauli za daladala mkoa wa Dar es salaam.